Diamond Kushindana Na Mrembo Wa Dunia Toka India, Priyanka Chopra Kwenye Tuzo za MTV EMA 2015

Nyota ya Diamond Platnumz inazidi kung’aa na kumulika hadi nje ya bara la Afrika ambako pia imeanza kukubalika.   Siku chache baada ya kushinda tuzo za AFRIMMA, 2015 na Best African Act (MTV 2015), msanii huyo mzawa wa Tandale, Dar es Salaam sasa atashindana na magwiji wa burudani wanaowakilisha kanda mbalimbali duniani akiwemo mrembo wa dunia wa mwaka 2000, kutoka India, Pyanka Chopra...
Read More

No comments:

Post a Comment