SHERIA YA MTANDAO INAMFILISI 50


Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka nchini Marekani, 50 Cent.
WALE wanaopenda muziki wa Hip Hop au wanaofuatilia showbiz ya kimataifa wanafahamu vizuri jinsi 50 Cent alivyo na ‘sinema’ nyingi katika maisha yake.
Moja kati ya mijengo anayomiliki 50 Cent.
50 Cent ambaye alikulia katika maisha ya kifukara kabla ya kupata utajiri mkubwa, amekuwa ni mtu wa kutawala katika vyombo vya habari kwa mambo tofauti, ikiwemo bifu, kutambia utajiri, lakini…

No comments:

Post a Comment