Masogange Anaswa Live Na Midume Miwili Hotelini


Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada iliyopo Mbezi-Beach jijini Dar hivi karibuni baada ya mrembo huyo kutua Bongo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kwenye makao yake yasiyo wazi. Katika picha za...

MASOGANGE5
Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’.
Hamida Hassan na Gladness Mallya
AIBU jamani! Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti, Ijumaa Wikienda linaripoti.
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada iliyopo Mbezi-Beach jijini Dar hivi karibuni baada ya mrembo huyo kutua Bongo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kwenye makao yake yasiyo wazi.
IMG-20151016-WA0024
Akiwa na mmoja kati ya midume hiyo.
Katika picha za tukio hilo, Masogange, akiwa kwenye vazi moja na kwa nyakati tofauti, alikuwa akijiachia kimahaba na wanaume hao, mmoja…








No comments:

Post a Comment