Brighton Masalu
MAMBO yamekuwa mambo! Siku chache baada ya mzazi mwenza wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutimka Bongo na kuelekea kwake nchini Afrika Kusini ‘Sauz’, mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameibuka na kusema hana kinyongo na mpenzi wa zamani wa mwanaye, Wema Sepetu ‘Madam’ na anamkaribisha nyumbani kwao muda wowote, Risasi Jumamosi lina ‘full’ stori.
Tangu Zari aondoke Bongo, imeelezwa kuwa, familia ya Diamond chini ya mama huyo mzaa chema, imempotezea…
No comments:
Post a Comment