Gabriel Ng’osha
AMA kweli dunia katili! Mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Asha Idd (27), mkazi wa Tabata jijini Dar, amepata majeraha mwilini na kichwani kufuatia kuchanwa na viwembe na mtu aliyedaiwa kumkopesha fedha kiasi cha shilingi laki moja (100,000) na kushindwa kumrejeshea, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa.
Akiwa na majereha baada ya kujeruhiwa kwa viwembe.
Duru za habari zilieleza kwamba, kabla ya kufanyiwa kitu mbaya hiyo, Asha alimkopesha rafiki yake aliyejulikana kwa jina la Jenny, shilingi laki moja lakini ilichukua muda mrefu katika kurudisha fedha hizo ambapo kila alipotakiwa kurejesha alisema…
No comments:
Post a Comment