Ben Pol.
KATIKA ulimwengu wa muziki Bongo, tumekuwa tukiwasikia wasanii wachache wakivuma ndani na nje ya nchi huku wakifanya kazi na wasanii mbalimbali wa nchi tofauti na Tanzania.
Pamoja na hao wachache kuvuma kimataifa, siyo kwamba wanajua sana kuliko wengine ila nyota zao ndizo zinazowasaidia kujikuta wakitajwa kila kona huku wengine wakiwa wanafanya vizuri lakini hawapati bahati hiyo ya kuwa gumzo ndani na nje, tatizo likiwa ni nyota zao ambapo badala yake…
No comments:
Post a Comment