WAIMBA INJILI WALIOTESWA NA NDOA

Bahati Bukuku.
KWA kawaida, watumishi wa kanisa au watu wanaofuata sana maadili ya dini, huchukuliwa kuwa ndiyo mifano bora katika jamii nyingi duniani. Hawa ni pamoja na Mashehe, Mapadre, Wachungaji, Waimba Injili na wengine wa aina hiyo.
Rose Muhando.
Hata hivyo, kibinadamu, baadhi yao hushindwa kuhimili, kuvumilia au kukabiliana na matatizo yanayotokea katika ndoa zao na kujikuta wakiridhia kufarakana, licha ya kuwa huwa tayari wameshaanzisha familia zenye watoto. Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya waimba Injili ambao waliteswa na ndoa zao na hatimaye kujikuta wakikaa mbali na wenza wao.…

No comments:

Post a Comment