Bibi harusi Doroth Msuya( Kulia ) Bibi harusi Doroth Msuya aliyetoroka saluni akipambwa saa tatu kabla ya kufungwa kwa harusi yao na kumwacha solemba bwana harusi, Joseph Machange amepatikana jijini Arusha. Polisi mkoani Kilimanjaro imesema binti huyo hakutekwa nyara kama ambavyo wanafamilia walitoa taarifa Kituo cha Polisi Himo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence Ngonyani...

No comments:
Post a Comment