Jeshi la Polisi mkoani Katavi limefanikiwa kuzuia kufungwa kwa ndoa iliyohusisha watoto, muolewaji akiwa na umri wa miaka 14 na muoaji ana umri wa miaka 17. Kwa mujibu wa taarifa, bibi harusi ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mwamkulu iliyopo kijiji cha Senta John Mwamkulu, Wilayani Mpanda, mkoani Katavi, na bwana harusi aliacha shule alipokuwa darasa la tatu. Mwanafunzi...

No comments:
Post a Comment