Tamko la Waziri wa Mambo ya Nje John Kerry kuhusu Uchaguzi wa Tanzania Kwa niaba ya Rais Obama na watu wa Marekani, nawapongeza watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uchaguzi wa rais na wabunge ulioendelea kuthibitisha rekodi nzuri ya Tanzania katika kujenga demokrasia imara. Wakati Rais John Pombe Magufuli na serikali yake wakichukua majukumu yao, tunatarajia kuendelea...
No comments:
Post a Comment