Imelda mtema
STAA asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacharukia watu wanaohoji kwa nini anapendeza angali mwanafunzi kwa kuwaambia, ‘kwani akiwa mwanafunzi ni mwiko kupendeza?’
STAA asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacharukia watu wanaohoji kwa nini anapendeza angali mwanafunzi kwa kuwaambia, ‘kwani akiwa mwanafunzi ni mwiko kupendeza?’
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Lulu alisema amekuwa akiona maoni ya watu wengi mtandaoni wakihoji anapata wapi fedha za kupendeza wakati yeye ni mwanafunzi hoja ambayo ameiona haina mashiko kwani yeye hatumii fedha nyingi katika urembo…
No comments:
Post a Comment