Imelda mtema
MASKINI wa Mungu! Baada ya kupata faraja kwa miaka kadhaa kwa kuwekewa mguu wa bandia, mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amepatwa na masaibu mengine ya kutakiwa kukatwa tena sehemu ya mguu uliokuwa umewekewa mguu wa bandia, Risasi Jumamosi lina stori nzima ya kusikitisha.
TATIZO LILIPOANZIA
Kwa mujibu wa ndugu wa karibu na Wastara ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini, tatizo linalosababisha mwigizaji kutakiwa kukatwa mguu huo wa kushoto lilimuanza alipokuwa kwenye…
Kwa mujibu wa ndugu wa karibu na Wastara ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini, tatizo linalosababisha mwigizaji kutakiwa kukatwa mguu huo wa kushoto lilimuanza alipokuwa kwenye…
No comments:
Post a Comment