OFM KAZINI...WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA SALUNI!

SALUNI-(1)
Wawili hao walivyokutwa wakifanya tendo hilo la aibu.
Chande Abdallah na Issa Mnally
DUNIANI kuna mambo! Wakati saluni za masaji (massage therapy) zikiendelea kuanzishwa kila kukicha katika Jiji la Dar kwa lengo la kutoa huduma ya kitabibu, ‘kama kawa’, kile kikosi maalum cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ cha Global Publishers kimevumbua mazito, twende pamoja.
Ni Jumanne iliyopita, majira ya mchana wa jua kali, OFM kwa kushirikiana na polisi walimnasa mhudumu mmoja wa kike kwenye masaji iliyoko maeneo ya Sinza Mori, Dar akiichakaza amri ya sita na mteja wake.…

No comments:

Post a Comment