MABASI YA MWENDO KASI KUANZA KAZI MWEZI DESEMBA JIJINI DAR

Mabasi ya mwendokasi yatakayofanya  kazi eneo la Morogoro Road kuanzia Kimara mpaka Kivukoni jijini Dar es Salaam.
Mabasi hayo wakati yanawasili Bandarini jijini Dar.
Mkurugenzi mkuu wa wa mradi wa mabasi yaendayo kasi UDA-RT,  Bw. Robert Kisena ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam  amesema mabasi ya mwendokasi yataanza kufanya …

No comments:

Post a Comment