Njemba huyo akionekana kurandaranda kwenye Maduka ya Mlimani City.
Boniphace Ngumije na Brighton Masalu
Taharuki! Katika hali ya kushtua, njemba mmoja mtata mwenye asili ya Kiarabu amezua tafrani kwenye Maduka ya Mlimani City yaliyopo Barabara ya Sam Nujoma, jijini Dar baada ya kudakwa akitalii na kupiga picha za mnato kwenye maeneo maalum bila kujulikana lengo lake.
...Akikatiza kwenye vikordo
Kwa mujibu wa shuhuda wetu, sekeseke hilo lilijiri kwenye maduka hayo mapema wiki hii, majira ya mchana ambapo jamaa…
No comments:
Post a Comment