Kidoa aibuka mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015

IMG_1250Asha Salum ‘Kidoa’ (katikati) akiwasalimia mashabiki baada ya kutangazwa mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015 usiku huu Dar Live.
IMG_1252Kidoa baada ya kutangazwa mshindi.
IMG_1260Akikabidhiwa Tuzo na Cheti chake na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima (kulia).
IMG_1266…Akiwa na tuzo na cheti baada ya kukabidhiwa.
IMG_1232Amrani Kaima akiongea jambo.
IMG_1311Mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015, Kidoa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Gazeti hilo.

No comments:

Post a Comment