INAWEZEKANA! Staa wa Hip Hop, Wiz Khalifa pamoja na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose hivi karibuni walijikuta wakila Sikukuu ya Krismasi kwa pamoja huku sababu kubwa ya kurudiana ikitajwa kuwa ni mtoto wao, Sebastian (4).
“Kila kitu kinachoendelea kufanyika kati ya Amber na Wiz moja kwa moja ni kwa ajili ya mtoto wao (Sebastian).
“Wamekuwa na sikukuu yenye furaha na Amber lengo lake ni kumrudisha Wiz katika himaya yake, anamtaka awe naye muda wote na kuishi kama familia lakini Wiz haamini kabisa kama itawezekana,” kilisema chanzo.
No comments:
Post a Comment