Hapa kama anavyoonekana Steve Harvey baada ya kugundua kafanya makosa kumtangaza Miss Colombia kuwa mshindi wa Miss Universe 2015, baada ya Miss Philippines kama ilivyoondikwa kwenye card ya matokeo.
Steve Harvey akiomba samahani mbele ya camera na watu walioudhuria mashindano hayo yaliyokuwa yanafanyika Las Vegas kwa kuonesha card ya mtokeo inayonesha kuwa Miss Philippines ndiyo kidedea wa mashinda hayo na Miss Colombia ambae alimtangaza mshindi anatakiwa kuwa mshindi wa pili na wa tatu ni Miss U.S.A.
Miss Philippines kwenye sura ya mshangao baada ya kusikia kuwa yeye ndiyo anatakiwa kuveshwa taji kwani ndiyo mshindi na alietangazwa katangazwa kimakosa. Na nyuma ya Miss Philippines ni Miss Colombia akishindwa kuwa na pozi na kubakia na majonzi kujua kuwa siyo yeye anaetakiwa kulitwaa taji hilo na anatakiwa kulivua licha ya kutangazwa kuwa mshindi na kulishikiria taji hilo kwa dk 10.
No comments:
Post a Comment