Waziri Lukuvi Asitisha Zoezi la Bomoa Bomoa Dar

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini, Mhe. William Lukuvi amesitisha zoezi la bomoabomoa kwa muda wa siku14 katika maeneo ya mabondeni na yaliyovamiwa na kujengwa kinyume cha sheria ili kutoa nafasi kwa watu waliojenga katika maeneo hayo kuondoa wenyewe mali zao. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi imebainisha...
Read More

No comments:

Post a Comment