Diamond atoa sababu ya kukacha All White Party ya Zari, adai hamwogopi Ivan

Diamond Platnumz alikuwepo, Kampala, Uganda usiku ambao Zari alikuwa akifanya party yake ya All White lakini hakutokea. Ex wa Zari, Ivan Ssemwanga na wapambe wake walikuwepo.    Watu walihisi kuwa Diamond aliogopa kwenda kumpa kampani mama wa mtoto wake Tiffah ili kuepusha shari na kambi ya Rich Gang ya Ivan. Hata hivyo muimbaji huyo wa Utanipenda amedai kuwa hakukacha party...
Read More

No comments:

Post a Comment