CCM Yalaani Vijana 1500 Kujitangaza Mashoga Mkoani Iringa

Picha ya Maktaba Chama  Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kimewataka vijana waliopo wilayani  humo kuacha  kujihusisha na masuala ya ushoga. Akizungumza na waandishi wa habari jana,Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi,Jimson Mhagama alisema hatua ya vijana kuingia katika ushoga ni sawa na kulidhalilisha taifa. Kauli ya Mhagama imekuja mara baada ya kuwepo kwa taarifa...
Read More

No comments:

Post a Comment