Noti Bandia Zawaliza Wafanyabiashara Msimu wa Christmas

Misimu wa sikuu za Christmas na Mwaka Mpya ilikuwa na neema kwa wafanyabiashara wengi nchini lakini iliacha vilio vya utapeli kwa baadhi wa wafanyabiashara hususan maeneo ya pwani waliojikuta wametoa mali halali na kupewa fedha bandia. Baadhi ya wamiliki wa Maduka na watoa huduma za simu pesa wilayani Kibaha mkoani Pwani wamepata hasara kubwa baada ya kusambaa kwa noti bandia za shilingi 10,000...
Read More

No comments:

Post a Comment