LEAVE A COMMENT IKULU YAAGIZA MTUMISHI ATAKAYEFANYA KOSA AADHIBIWE HAPOHAPO ALIPO BADALA YA KUHAMISHIWA SEHEMU NYINGINE YA KAZI


MAKATIBU Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya semina elekezi iliyoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.   HABARI KAMILI Akizungumza kabla ya kuanza kwa mada zilizoandaliwa katika semina hiyo  jana, Katibu Mkuu Kiongozi Sefue, alisema semina hiyo […]

No comments:

Post a Comment