MAFURIKO YANAYOENDELEA INCHINI YASABABISHWA KUSIMAMISHWA KWA SAFARI ZA TRENI

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL umetangaza kusitisha kwa muda kuanzia  Januari 01, 2016, huduma zake baada ya eneo la reli ya kati ya Kilosa mkoani Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma tuta la reli kukumbwa na Mafuriko. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Elias Mshana amesema eneo lililoathiriwa […]

No comments:

Post a Comment