Mchungaji Lwakatare Apinga Nyumba yake Kubomolewa....Mwanasheria Wake Aitaka Serikali Kuheshimu Hukumu ya Mahakama

Mchungaji  a  Kanisa  la  Assemblies of God,Mikocheni, Dr Getrude Lwakatare amepinga  nyumba  yake  kubomolewa  ikiwa  ni  siku chache  baada ya wizara  ya  maliasili  na  utalii kupitia  wakala  wa  misitu  Tanzania (TFS ), kuweka alama  ya X wakidai imo katika hifadhi  ya  bahari. Mwishoni...
Read More

No comments:

Post a Comment