Sakata la Upotevu wa Makontena Bandari Lachukua Sura Mpya Baada ya Chama cha Mawakala wa Forodha (Taffa) Kufungua Kesi Mahakama Kuu

Sakata la utoaji makontena bila kulipia tozo ya bandari, limechukua sura mpya baada ya Chama cha Mawakala wa Forodha (Taffa) kufungua kesi Mahakama Kuu, kupinga kitendo cha Mamlaka ya Bandari (TPA) kuwadai fedha za tozo hiyo ambazo wamesema wameshalipia.   Taffa imefungua kesi hiyo kwa hati ya dharura, ikipinga TPA kutaka kufungia kampuni zinazojihusisha na masuala ya forodha, kuwakamata...
Read More

No comments:

Post a Comment