Mkandarasi wa miundombinu ya usafirishaji umeme atakiwa kumaliza kazi ifikapo Aprili 2016.

Kampuni ya Joti structures inayojenga miundombinu ya usafirishaji umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Dodoma hadi Singida imetakiwa kukamilisha ujenzi wa miundombinu hiyo ifikapo mwezi Aprili mwaka huu kama mkataba unavyoelekeza.    Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani wakati alipofanya ziara ya kikazi mkoani Dodoma ili kukagua miundombinu...
Read More

No comments:

Post a Comment