TRL Yasitisha Kwa Muda Safari Za Treni Ya Bara Kutokana Na Mafuriko Kati Ya Morogoro Na Dodoma

KAMPUNI YA RELI TANZANIA (TRL) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (PRESS RELEASE) Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL umetangaza kusitisha kwa muda kuanzia  Januari 01, 2016, huduma zake baada ya eneo la reli ya kati ya Kilosa mkoani Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma tuta la reli kukumbwa na Mafuriko. Kwa mujibu wa taarifa za kifundi eneo lililoathiriwa na mafuriko ni kubwa hivyo...
Read More

No comments:

Post a Comment