Rais Magufuli Asema Hataki Kusikia Malalamiko ya Wananchi juu ya Suala la Njaa......Ikitokea Akasikia, Mkuu wa Mkoa Atafukuzwa Kazi


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Magufuli amesema kuanzaia sasa hataki kusikia malalamiko ya wananchi juu ya suala la njaa na ikitokea akasikia vilio hivyo vikiendelea mkuu wa mkoa husika atachukuliwa hatua ikiwemo ya kufukuzwa kazi.   Mh. Magufuli ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Arusha ameyasema hayo alipokuwa njiani kutoka jijini Arusha kwenda wilaya Monduli...
Read More

No comments:

Post a Comment