Serikali Yacharuka.....Yamfungulia Mashitaka Mkurugenzi wa Kampuni ya Six Telecoms na Wenzake Watano kwa Kuisababishia Serikali Hasara ya Bilioni 8

MKURUGENZI wa Kampuni ya Six Telecoms, Hafidh Shamte na wafanyakazi wengine watano, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni nane. Washitakiwa walifikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka mawili na mawakili kutoka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Jackline Nyantori na Johanes Kalungura...
Read More

No comments:

Post a Comment