Tanzania Hatarini Kukubwa Na Mafuriko Ya El-nino - Umoja Wa Mataifa

UMOJA wa Mataifa umeihadharisha Tanzania kuwa itakumbwa na mafuriko yatakayosababishwa na mvua za El-Nino na kutaka kuanza kuchukua tahadhari mapema. Taarifa ya Umoja huo ya uwezekano mkubwa wa mafuriko yatakayosababishwa na mvua za El- Nino imetolewa wakati serikali inaendelea kubomoa nyumba zilizojengwa maeneo hatarishi katika mabonde na maeneo yasiyoruhusiwa. Kwa mujibu wa taarifa ya...
Read More

No comments:

Post a Comment