Serikali Yaipiga Faini Ya Bilioni 3 Benki Ya Stanibic Kwa Kuhusika Na Ufisadi wa Dola Milioni 600

Hatua Ambazo Zimechukuliwa Dhidi Ya Stanbic Bank Tanzania Limited Kuhusu Ushiriki Wake Kuwezesha Mkopo Wa Serikali Wa Dola Za Kimarekani Milioni 600 ____________________ Utangulizi Mwezi Julai 2013, Benki Kuu ya Tanzania kupitia ufuatiliaji wa kawaida wa shughuli za mabenki iligundua matatizo yaliyohusiana na hasara itokanayo na mikopo na pia kuacha na kuondolewa kazini kwa viongozi waandamizi...
Read More

No comments:

Post a Comment