Waziri Kitwanga Atangaza vita ya Bodaboda

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amesema katika kuhakikisha Serikali inapambana na uhalifu, Jeshi la Polisi limeanza ukaguzi maalumu wa bodaboda na kufunga kamera za CCTV katika miji mikuu ili kufuatilia matukio mbalimbali. “Kutokana na majambazi kubuni mbinu mpya kila siku, ikiwamo ya kutumia bodaboda kuvamia benki na wanaotoka benki na kuwapora fedha, kuanzia sasa bodaboda,...
Read More

No comments:

Post a Comment