WATU 79 WAKAMATWA OPERESHENI ONDOA WAGENI

Operesheni ya kuwaondoa wageni wanao ishi nchini bila vibali imezaa matunda kufuatia Idara ya Uhamiaji nchini  kuwakamata watu 79 wanao ishi nchini  na kufanya kazi bila kibali. Kwa mujibu wa  Naibu Kamishna wa Uhamiaji  John Msumule alisema watuhumiwa hao wanatoka katika nchi 15. Amezitaja nchi hizo  na idadi ya wahamiaji haramu kuwa  ni Nigeria (4), […]

No comments:

Post a Comment