Jeshi La Polisi Lakamata Majangili 9 Waliotungua Helkopta na Bunduki 29.....Miongoni Mwa Waliokamatwa ni Mhifadhi wa hifadhi ya Ngorongoro
Siku chache baada ya kutokea tukio la majangili katika pori la akiba Maswa wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, kuitungua ndege (helikopta) iliyokuwa doria na kuaawa kwa rubani wake Rodgers Gower (37), watu 9 wamekamatwa kuhusika na tukio hilo...
No comments:
Post a Comment