Jeshi la Polisi limeweka ulinzi katika Bandari ya Dar es Salaam, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga kuwa ilindwe na vyombo vya dola badala ya kampuni binafsi za ulinzi. Akizungumza kwenye kikao cha kazi kilichowahusisha makamanda wa mikoa na vikosi vya polisi nchini, Mkuu wa jeshi hilo (IGP), Ernest Mangu, alisema tayari wamepeleka askari bandarini...

No comments:
Post a Comment