Mfanyakazi Wa Kihindi Afukuzwa Kazi Nchini Kwa Kuwaita Watanzania Nyani

Raia wa India, Dennis Smith ameachishwa kazi katika Hoteli ya Ramada kwa madai ya kuwatukana wafanyakazi wa ngazi za chini akiwaita nyani. Smith, ambaye ni meneja wa chakula na vinywaji wa hoteli hiyo, aliwatukana na kuwadhalilisha wafanyakazi hao siku ya Sikukuu ya Wapendanao akiwatuhumu kushindwa kuandaa meza vizuri. Kutokana na udhalilishaji huo, wafanyakazi wa hoteli hiyo jana waligoma...
Read More

No comments:

Post a Comment