Wakati Rais Dk. John Magufuli akitarajia kutangaza safu ya wakuu wa mikoa na wilaya wapya, imebainika wapo zaidi ya 20 ambao watatemwa kutokana na sababu mbalimbali za utendaji. Habari za kuaminika zinasema miongoni mwa wakuu wa mikoa watakaoachwa wamo walioshindwa kutatua kero sugu zikiwamo za mapigano ya wakulima na migogoro ya ardhi ambayo kila kukicha imesababisha watu...
No comments:
Post a Comment