Kufuatia kutofanya vizuri kitaifa katika mtihani wa kidato cha nne, shule ya sekondari ya watoto wenye vipaji maalumu, IIboru itaanza kuwachuja wanafunzi wasio na uwezo wanaopangiwa kusoma shuleni hapo. Mkuu wa shule hiyo, Julius Shula amesema licha ya Ilboru kuwa ya kwanza kwa shule za Serikali nchini, lakini imebaini upungufu katika upatikanaji wanafunzi. Amesema...
No comments:
Post a Comment