Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili /Mloganzila - Dar es salaam wakamilika


Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili /Mloganzila - Dar es salaam wakamilika. Mradi huu umegharimu Dola za Kimarekani milioni 61, ambapo Serikali imetoa Dola milioni 18 na Serikali ya Korea imetoa mkopo wa Dola milioni 43.

No comments:

Post a Comment