RAY C AKANUSHA KUURUDIA UNGA ‘ASEMA ATAPAMBANA NAO MAHAKAMANI’

Ray C amekanusha tetesi zilizoanza kuenea kuwa amerejea tena kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.

Hivi karibuni magazeti ya udaku yamekuwa yakiripoti kuwa muimbaji huyo amekuwa akionekana kwenye machimbo ya uuzaji wa dawa hizo jijini Dar es Salaam.

Kupitia Instagram, Ray C ameandika maneno haya kukanusha habari za uongo:
Seriously kwa kweli huwa naumia sana sana kuona binadam mwezangu anadiriki kuniharibia jina langu ilj yeye apate kula!hamjui mnaniathiri kiasi gani na hizi habari zenu?Hivi unadirikije kuandika usengwile kama huu bila hata aibu wala picha ya kuisapoti hiyo habari yani ni ujinga ujinga tu umeunganishwa na picha yangu bila hata uoga mmeichukua kutoka kwwnye page yangu ya insta bassss tayari mmeshapata story ili mradi tu mniharibie maisha yangu ili nyie mpate pesa mi nife maskini!!!kama kweli mnauhakika na mlichoandika kwanini hamkuweka picha yangu nikivuta hayp maunga badala yake mnaweka picha ya kituo cha mkunguni ambapo madaladala husimamisha kituoni hapo.
Mmepiga picha ya kituo cha mkunguni mkaona haitoshi mkaingia kwwnyw page yangu ya insta na kuchukua picha yangu niliojipiga mwenyewe ndio mnazitumia kunichafulia jina langu tena wakati ndio kwanza nahangaika kurudi tena kwenye kazi yangu. Haki amungu sijawahi kuskia hata siku moja nyie global mmeandika kuhuau foundation yangu na mambo mazuri iliofanya,jw mnajua kama mpaka sasa nimeshatoa vijana zaid ya sabini kwenye madawa na wako fit wanatumia methadone je mnajua hilo?

No comments:

Post a Comment