Dereva TAXI Atiwa Mbaroni akituhumiwa Kubaka abiria

DEREVA teksi katika Manispaa ya Iringa, Elain Mahenge (27), anashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mteja wake. Mahenge, Mkazi wa Semtema, Kihesa katika Manispaa ya Iringa, anadaiwa alikutwa akifanya kitendo hicho dhidi ya mteja wake  saa 3:45 usiku. Kitendo hicho cha ubakaji kimetokea ikiwa imepita takriban miezi miwili, tangu Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya...
Read More

No comments:

Post a Comment