Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Wamkana Anne Kilango Malecela.....Wadai Hata wao Walishangaa Sana Aliposema Shinyanga Haina Watumishi Hewa

Siku moja baada ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango kuvuliwa uongozi kwa kutosema ukweli, Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Hawa Ng’humbi ameiruka taarifa ya kutokuwapo kwa watumishi hewa, ambayo amesema ilimshtua alipoiona kwenye televisheni.  Mkoa wa Shinyanga unaundwa na wilaya tatu ambazo ni Shinyanga, Kishapu na Kahama zinazoundwa na halmashauri sita ambazo ni Kishapu, Manispaa...
Read More

No comments:

Post a Comment