Diamond akinukisha bonanza la Vodacom fungua Semester, Mabibo

957ce20e-6a42-48e7-9864-2e7f736418cdMsanii wa muziki wa kizazi kipya bongo fleva, Diamond Platinum’s akiwapagawisha mashabiki wake kwenye bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania lililoshirikisha vyuo vikuu vyote vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.
11c5545a-e772-4dfa-97e9-8b1b3c93550aMadansa wa msanii wa muziki wa kizazi kipya bongo fleva, Diamond Platinum’s wakifanya yao wakati wa bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania lililoshirikisha vyuo vikuu vyote vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.
e40c08d7-cfd5-4ba9-9933-ec83f6a34614Nyomi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya jijini Dar es salaam na mashabiki wa msanii wa muziki wa kizazi kipya bongo fleva, Diamond Platinum’s(hayupo pichani)wakipagawa naye wakati wa bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania lililoshirikisha vyuo vyote vikuu vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.thumbnail_003.BONANZABaadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya jijini Dar es Salaam, wakimkimbiza kuku wakati wa bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania lililoshirikisha vyuo vikuu vyote vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.thumbnail_002.BONANZAJohn Mwakipesile ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam, akiruka juu kujaribu kumtoka beki wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) Abubakari Omary wakati timu hizo zilipomenyana hapo jana na kutoka suluhu ya bila kufungana katika bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania,lililoshirikisha vyuo vikuu vyote vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.
????????????????????????????????????
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St.Joseph jijini Dar es Salaam, Aisha Ramadhan, akiumiliki mpira wakati timu yake ilipopambana na timu ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere Memorial hapo jana katika bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania, lililoshirikisha vyuo vikuu vyote vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.

No comments:

Post a Comment