Ajali nyingi za bodaboda na mabasi ya abiria zimetajwa kuwa sababu kubwa za Taasisi ya Mifupa (MOI) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuelemewa wagonjwa wengi wanaofikishwa kwa ajili ya upasuaji wa dharura. Hali hiyo imesababisha changamoto kubwa kwa Wizara ya Afya kwani madaktari waliopo katika taasisi hiyo ni wachache na wanazidiwa na majukumu. Kutokana...

No comments:
Post a Comment