Mkurugenzi Mkuu wa Zamani wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Naibu wake wana Kesi ya kujibu

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) Ephraimu Mgawe (Kulia) na Makamu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Hamadi Koshuma  *****   Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Ephraim Mgawe na aliyekuwa Naibu wake, Hamad Koshuma wana kesi ya kujibu ya matumizi mabaya ya madaraka, imefahamika. Mgawe na mwenzake wanakabiliwa na kesi hiyo katika...

No comments:

Post a Comment