Siwema wa Nay wa Mitego Ahukumiwa Jela Miaka Miwili

Sheria  ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015 imemkumba mwanadada ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa staa wa Bongo fleva, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema anayeishi Mwanza baada ya kuhukumiwa kwenda jela kwa miaka miwili. Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama Kuu ya Mkoani Mwanza ambapo Siwema amehukumiwa baada ya kukutwa na hatia ya kumtukuna matusi mtu kwa njia ya mtandao kitu ambacho...
Read More

No comments:

Post a Comment