Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi watendaji wakuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya kupisha uchunguzi kuhusu wizi na udanganyifu uliofanywa katika akaunti ya madai ya NHIF mkoa wa Mara.Taarifa za awali zinaonesha zaidi ya shilingi bilioni 2.9 zimeibwa kwa njia ya udanganyifu kutoka katika akaunti yamadai ya NHIF mkoa wa Mara ambazo...

No comments:
Post a Comment