Uganda Yatangaza Rasmi Kutumia Bandari ya Tanga nchini Tanzania kusafirishia Mafuta Ghafi Yake.

Hatimaye Serikali ya Jamhuri ya Uganda imetangaza rasmi uamuzi wake wa kutumia Bandari ya Tanga nchini Tanzania kusafirishia mafuta ghafi yake.    Uamuzi huo umetangazwa na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda wakati wa Mkutano Mkuu wa 13 wa Ushoroba wa Kaskazini uliomalizika Jijini Kampala Uganda.    Ujumbe wa Tanzania ulio kamilisha mazungumzo hayo na...

No comments:

Post a Comment