Swali kubwa la kujiuliza hivi viongozi wa Manispaa ya Mji wa Bukoba hawaoni tatizo la mashimo pamoja na madimbwi katikati ya barabara ya katikati ya mji karibu na stendi ya mabasi ya Mjini Bukoba. Uongozi wa Manispaa ya Bukoba Mjini ni kijipu upere ambacho kinahitaji kutumbuliwa muda wowote. Wananchi wamechoka barabara kutotengenezwa takribani miaka miwili na mvua inaponyesha inaleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo
No comments:
Post a Comment